Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7.Mkono ulokuwa ukionekana ukimchora Rose sio waLeonardo DiCaprio‘s, ila ni wa director James Cameron‘s. Katika editing baadae, Cameron, ambae anatumia mkono wa kushoto,walitumia technique ya kuipindua shot kwa kiyooo(hapa watu wa editing ndo wanaelewa zaidi)ili ionekane ni mchoraji alikuwa anatumia mkono wa kulia,kama DiCaprio.
 
8.Hii ni movie ya kwanza kuwa filmed katika Fox Studios Baja.
9.Katika scene ambayo wazee wawili wapenzi wanakumbatiana kitandani wakiwa tayari kufa pamoja wakati meli inazama na maji yashaanza ingia chumbani kwao na kuanza sambaa chini ya kitanda,mtunzi hapa anawatumia hawa wahusika wawili kuelezea kilichotokea kwa wamiliki wa Macy’s department store ya mjini New York; Ida and Isidor Strauss.Hawa walikuwa ni wapenzi wawili walokufa katika Titanic in real life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…