Ida alikuwa offered a seat on a lifeboat but alikataa ili akae na mume wake,Ida alitamka maneno haya, “As we have lived together, so we shall die together.”Scene inayoelezea hili tukio ipo moment, ila ilikatwa,unaweza iona katika Special Collecters DVD
10.Hii ndio the expensive movie kuwa filmed katika karne ya 20
11.Katika movie,wakati engine master anasema “All ahead full,” kuna mtu aliskika akipiga yowe , “All ahead full!” katika background. Hiyo ilikuwa sauti ya director James Cameron
12.James Cameron ndo alichora picha zote katika movie
13.Baada ya kujua atasimama uchi mbele ya Leonardo DiCaprio, Kate Winslet aliamua kuwekaa aibu pembeni,walipokutana kwa mara ya kwanza ali smile kidogo na kuangalia pembeni