Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mkuu mwezi wa kumi nitakuwa njia hiyo, ikiwezekana tushuke wote tukale vyura wa Mikindani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi huku nakula[emoji39] [emoji39] vitu vya asili kabisa.
cc Andjul
Leo niko hapa hadi mida ya wangaNakujua na kukufaham vizuri
Heeeeeh![emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]SYB kasema anatafuta singo maza[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu leo jumba bovu limekuangukia wewe.Inatokeaga tu,ingawa waathirika wakubwa ni kichwa na uniq.Pole sana mkuu, ila uache kujimwayamwaya...Teh teh teh
Aisee
Haya maneno yametoka kwako au naota
Wakati zizi linavamiwa niliwatafuta sana shemeji. Basi tu yaani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Doooh!pole sana itabidi tusemezane na SYB hapa