Saa 4 hii unakwenda wapi? Au cha Kingston kimegoma?Kwa niaba yangu pamoja na matajiri wenzangu kina Bill Gate na Mark Zuckerberg naomba niwatakie usiku mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo na wewe umekubali zizi lako livamiwe shemeji??Wakati zizi linavamiwa niliwatafuta sana shemeji. Basi tu yaani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Leo watu mnaaga mapema duh! Kulikoni?Usiku mwema
[emoji55] [emoji55] [emoji55]Heeeeeh![emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Cha Arusha punguza mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa utafanya haya na kama hableed sehemu hizo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
2Pac mom? Did she raise a thug?
Tupo mkuu. Tupo kabisaaa !!!