Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nakubali kabisa. Mayai ukiyachochea sawa sawa halafu usukumizie na maziwa, missile za Korea Kaskazini cha mtoto. Tena ni biological weapon kabisa.
Nilisafiri na jamaa Dar to MZA kwa basi kaanza kuyatwanga haya mayai na karanga tupo Chalinze tu. Kuja kufika Tabora hali tete balaa basi zima hatuelewaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ya Wamarekani... Freetown...Freed slaves...LIBERIA.