ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mkuu pambana na Timu yako. Kwa sababu huna budiIlikuwa hivyo,
Nikachechemeaaa mwisho nikakaa pembeni na kushangilia magori ya timu yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu ilichukua miaka mingi mwisho nikaamua hivyo mkuuMkuu pambana na Timu yako. Kwa sababu huna budi
Mapenzi ya mpira huingia moyoni sana