[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakubali kabisa. Mayai ukiyachochea sawa sawa halafu usukumizie na maziwa, missile za Korea Kaskazini cha mtoto. Tena ni biological weapon kabisa.
Nilisafiri na jamaa Dar to MZA kwa basi kaanza kuyatwanga haya mayai na karanga tupo Chalinze tu. Kuja kufika Tabora hali tete balaa basi zima hatuelewaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekwambia siku hizi unazingua,me nimekaa hapa naona kimya nimebaki mwenyewe nikasepa kurud tena nikakuta hola[emoji22][emoji22]
Bendera ya hii nchi naipenda sanaBOTSWANA.
Mzee anakula kisa maneno yake ya uhuni uhuni mjini
Hii ilikuwa ni second defeat kwa Tyson nafikiri
YapSasa ni marafiki wakubwa !!!
Heavy weight tangu enzi za Muahamadi Alli ndio zilikuwa ngumi hata Olympic kwenye boxing bingwa wa heavyweight ana heshima kubwa sanaWhen boxing was real back then. Siyo hizi drama za WWE za akina Mayweather na Mcgregor...
Mimi siwezi kuwa adui yako bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naanzaje kwa mfanoNa ww umeanza kuwa adui yangu[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Hii kama ya AmerikaLIBERIA.
Sasa si tuanzie hapo kwenye sapuraizi??[emoji38][emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi inabidi tuyajenge upya maana jana kosa kwel langu.