Nafikiri huu uko juu, japo na ule sio wa kupuuza umedumu kwa muda sana na haujakosa wachangiajiHuu uzi ni bab'kubwaaaa kama uleeee wa wambuzi ule wa wa mwisho ndio mshindi .. That's great[emoji111] [emoji111] [emoji111]
Najitahidi...Fungua machoo
Mbona bongo hapa watanzania wengi Vichaa...Research zinaonyesha kua wazee wanazaa watoto werevu sana!
Hata ku like nayo ni kaziMsisahau kazi
Basi papasa kitanda utanigusaNajitahidi...
Mwambie kazi njema na sio mahangaikoAsante na uwe na mahangaiko mema
Morning MQUUNi mwendo wa malike tu
Habari ya Tanzania daima hiyo mkuu...Mbona bongo hapa watanzania wengi Vichaa...
Inamaani watanzania wengi tunazaliwa na wazazi under 18?
Atakua kaandika kisukuma huyoMwambie kazi njema na sio mahangaiko
Binti mzima?Morning!!!
Poa mquuHamjambo wana uzi
Mwambie mkaribu wako akufunike kwa mwili wake utapata jotoNaona baridi