We acha tu!Yani yani
HahahahahMabachelor utawajua tu.....
Wao hukesha jf
Chukua hiyo
[emoji23]Atakua kaandika kisukuma huyo
HahahahaMlale sasa..
OkNendeni kwa kasi mapema hii kabla hatujaanza majukumu ya kikazi
Huu uzi wala c wa kukaribishwa mkuu kwa tunavo penda like tutakuja tuAlikeni watu wapya kuongeza nguvu ya kupeleka mbele huu uzi pendwa
Upo mwana uziNaona ameamua kulala...maana si kwa mwendo wake
Good morning kichwa kichafuHahahaha
Hizi nyuzi ni endless ujue... Safi sanaNafikiri huu uko juu, japo na ule sio wa kupuuza umedumu kwa muda sana na haujakosa wachangiaji
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ngosha unafujo wewe[emoji61]
Huu uzi wala c wa kukaribishwa mkuu kwa tunavo penda like tutakuja tu
Haya dude limeamka hilo.Hahahahah
Hahahaha
Soon utakuwa top 20 kwa likesGood morning kichwa kichafu
Unalipwa na nani?Hata ku like nayo ni kazi