Che Guevara
Poa mkuuHabari zenu wakuu..
09'2609:23
Poa mkuu niaje
Kijana angalia sana hao jamaa, watakubemenda haoUnderage aisee, hayo mambo wala siyajui. Naona mnataka kunifundisha tabia mbaya! [emoji3][emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Si hayo mnayosema, sijui tembo. Mengine naona aibu kuyasema mie! [emoji3]