Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Napenda kutuma salamu kwa binti Mrembo Numbisa ambae kwa sasa anapitakana mwanza. Ujumbe asitoe chagga sana
CantstopwontStop
[emoji41] [emoji41] Mpare[emoji41] [emoji41] auHahahah
mchaga ni mtani wangu😵😵 hata usingenambia ningeelewa😎😎
[emoji5] [emoji5] [emoji5] pamoja shemejiAsante sana Jakitoo
CantstopwontStop
Official mtani wa mchaga hadi viv anamjua😉[emoji41] [emoji41] Mpare[emoji41] [emoji41] au
Viv itabidi nimchukue nimpeleke migombani akale ndizi na kiburu[emoji13] [emoji13] [emoji13]Official mtani wa mchaga hadi viv anamjua😉
HahahahahahViv itabidi nimchukue nimpeleke migombani akale ndizi na kiburu[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Poa mkuu niajeHabari za muda huu kwa wote hapa Kijijini
Yap like kwenda mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lazima si unajua jadii [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahah
angalia tu wasimpe mbege mana hawachelewi
Aisee!Hii technique ya kuweka avatar ya mke wangu imesaidia kuwajua, mnaomnyapia nyapia. Mwanamke wangu
CantstopwontStop
Pamoja mkuu hakuna mpyaPoa mkuu niaje
Baada ya chanzo ,kitendo hahahaBaada ya kisa mkasa. Baada ya chanzo kitendo