Miss u too jovitha ila huyo wa kwenye avatar team wema hawatamsahau aiseee movie mpaka leo haijatokaMzee wa liver
Numbisa
Kisu cha ngariba
Miss zomboko
Nyagei
Miss natafuta
Daby
Na woteeeee mlioko kwenye huu Uzi nimewamiss
Pia apendelee kutanua miguu wakati wa kutembea ili nyeti zisigusane na kusababisha misuguano.Hahahah yaan humu kuna wapinzani wa Bob wengi,dah
Ni hai KBS....naona mmetupa jongoo na mti wake...[emoji12]Yu hai!
Hahaha yaan we acha tu, lkn hawataweza.umeona eeeh
shimba
moud
andjul
hao ndiyo waliojionyesha hadharani sijui ambao hawajajionyesha ni wangapi
hahahahaBusha litakupendeza sana mkuu,
Hasa ukichokemea balaa tupu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nsamaka kwa nini umecheka vitu vya kawaida hivi?Hahahha jamani hadi nimelia kwa kucheka.