Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kumbe tuna-post mpaka methali...Baniani mbaya[emoji149] chake [emoji381]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe tuna-post mpaka methali...Baniani mbaya[emoji149] chake [emoji381]
Boda to boda..Bampa to bampa
na zaidi ya hapoDuu nahisi nimechelewa sana, tutakesha wengi humu ndani.
ntakuja pm unifafanulie msemoBaniani mbaya[emoji149] chake [emoji381]
Haha mimi asubuhi niliuona wakati una anzishwa nikapuuzia saa hii naona wana watafuta makapuku kwa speedMkuu watu wanataka likes, wanaona kwingine wanapeana kiupendeleo nimecheka sana[emoji16][emoji16]
Yaaan kama ninavyokupendaga hujui tu [emoji4]Ila jf tunapendana jamani sio kwa wema huu. Lol. Idimu jf miaka yote aisee.
Haitotokea siku nitakayopata like kama leoooo.........Mkuu watu wanataka likes, wanaona kwingine wanapeana kiupendeleo nimecheka sana[emoji16][emoji16]
Kule like zinatolewa kwa kuangalia ID ya MTU...Mkuu watu wanataka likes, wanaona kwingine wanapeana kiupendeleo nimecheka sana[emoji16][emoji16]
Halafu unajua nakupenda...hivi ulikuwa unajua..?Ila jf tunapendana jamani sio kwa wema huu. Lol. Idimu jf miaka yote aisee.
Mbona niki click avatar yako linatokea dume?? Kulikoni??Likes mlizonipa sio za nchi hii
Chochote ili mradi upate likeKumbe tuna-post mpaka methali...
Sisi ni Kijiji kimoja.Ila jf tunapendana jamani sio kwa wema huu. Lol. Idimu jf miaka yote aisee.