Mbona humwambii nilipo? Maana naona hapo kaniulizia.Mkuu kwema huko? Kuna mzigo ulikuwa unakaa Mandela road pale...
Sent from my PantechP8010 using JamiiForums mobile app
Na ukianzisha ugomvi usimpangie mtu siraha ya kufanyia mashambulizi.Hahahahah
ukimuuzia mtu silaha usimuulize anaenda kutumia wapi na vipi
HahahahahaNa ukianzisha ugomvi usimpangie mtu siraha ya kufanyia mashambulizi.
Tutakula kwa macho vingapi jamani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kula kwa macho tu