Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hivi waifu wako anajua kuwa unawatolea macho mapini kama hawa?
jibu yes or no
Waifu?

Huyu hapa anaosha vyombo. Hana shida na mimi kabisa. Tena akiona msambwanda wa kumzidi yeye atahakikisha nimehakikisha ili kupata uhakika wa uhakika huo. Ndoa ni maelewano tu mkuu na si kingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes or no (ignoadi !!!)
 
Ila in reality hilo goma si mchezo mwanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…