Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anza na mzee wa pwani kama vipi wasiliana na mwanafunzi akupe maujanja ya kuteka[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo nalo wazo,maana huyu mzee wa Ikwiriri alivyo na busara siku hizi,kuna haja ya kumteka wa pwani,Bob,mzee wa liver nadhani hata andaeitini maana haeleweki kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…