Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Umenikalia kooni ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nikalale kwanza
Usilale mchezoUmenikalia kooni ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nikalale kwanza
Nimekuelewa mkuu haya mambo yanahitaji busara ya hali ya juu sana,wengi wanaoumia si walengwa...Mungu atusaidie kwakweliNakuombea usije pitia hiyo njia.Inaumiza sana,kumbuka ni watu wengi hupoteza maisha.Yule ndugu yake hatakusamehe kamwe... Nimedhurumiwa mara nyingi penye haki yangu,ila naogopa kuchukua hatua kisa wale walio nyuma yake
Wamekwisha nikimbia wote we acha tu heri nitulie tu huku kibiti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tayari... .[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yup nataka kusoma kile kitabuUnataka kunisoma me kitabu bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kope zinakumbatiana tu....sema nitarudi mida flani hiviKusepa naona fungu lako la mbonji umeniamshia mimi huku.
Acha tu napotea hivi punde msela wang
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenda hukoooSubiri wabeba tan [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana leo sirudi kule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimejikuta tu nashindwa kutomwambia andjul yaliokukuta
Mkuu niaje uko poa
Hahahahaha
Notarudi baadae sana hapa naona kope za macho zinakumbatiana tu[emoji25][emoji25][emoji25]Ebana eeh, mbona mapema?