Itaisha vizuri tu.Kwani huko kuna fujo kweli?Asante mkuu ndio uzee mwenyewe huu.
Mzee kesho siku itaisha salama kweli maana uswazi huku huwa shida
Home? Mke wa mdogo wangu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sorry,sisi wanyakyusa tuna hela,carba atalipwa mshahara na marupurupu yake yote na familia ili mradi tu Cole ahudumiwe itakavyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Viv akiumwa nitakutafuta uje kabisa bunju umtibie hom[emoji41]
Namaindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Andaeitini ni changamoto kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3]Kamchukua aliyekuwa wangu. Hizi zingine mbwembwe tu bageshi....
[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahah weee kumbe unataka kupata busha eeeh? Humjui andjul?
Huyu nani shimba
Mbege tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Semeni kama mnahitaji mbege zaidi niwaongezee....
Sema. Kuna tatizo?