Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Basi, nitafanyaje sasa...sasa si ndo vizuri katulia?au unataka awe kiguu na njia??
Unataka nimuache aanze kuimba paraboz?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muonee huruma basi
No way out,moud kasema sisi ni timu moja,hakuna haja ya kufichana[emoji23][emoji23][emoji23]nimejikuta tu nashindwa kutomwambia andjul yaliokukuta
YUESI EI!!! YUESI EI!!! TRUMP, TRUMP !!!!
Indeed[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mpaka muda huu hapajatokea tatizo, endelea kutipiaSema. Kuna tatizo?
Si kwa dar
Waifu?
Huyu hapa anaosha vyombo. Hana shida na mimi kabisa. Tena akiona msambwanda wa kumzidi yeye atahakikisha nimehakikisha ili kupata uhakika wa uhakika huo. Ndoa ni maelewano tu mkuu na si kingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes or no (ignoadi !!!)