Utaanzaje kwa mfano...Mi Simsikilizi huyo ndugu yangu wala yeyote yule, Nakuskiliza wewe Tu only You
CantstopwontStop
Mkuu umenijibu???
We moud wewe mbona hutaji hao members eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Naanzaje kukuficha kwa mfano[emoji23][emoji23][emoji23]No way out,moud kasema sisi ni timu moja,hakuna haja ya kufichana
Ameziba masikio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utaanzaje kwa mfano...
Una tatizo gani wewe? Wote walio soma maths wanapenda misambwanda by nature, nini kimekupata wewe?AKILI NI BORA KULIKO MISAMBWANDA
CantstopwontStop
AMUN RASi kwa dar
Kazi kweli kweliHahahhaa
Hahahaha...namba