Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Haya kasalimie familia bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] missing my family.
Tafuta utapata,ukipata tumia kutunza wengine,natamani nife nikiwa na tabasamu usoni,yaani "kazi ya Baba aliye hai nimeitekeleza kwa kiasi chake,naenda walio baki waiendeleze"[emoji120][emoji120]Mungu atusimamie kwakwel
Umesahau??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alikisoma wapi??cha nani labda?[emoji23][emoji23]
Boflo kiboko yake chai, acha woga weye[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mafundi mmerudi[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Weweeee usinipange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesahau??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapi!!!?? Kahama hukooMkuu huyu nae anakaa Kitumbini? Karibu na ule Msikiti wa Ijumaa?
Na mimi nimo humo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna hesabu za assimilation, namba yoyote iliyo zungukwa na tabia za moja nayo ni moja,au maskini yeyote aliye jenga katikati ya matajiri ni lazima atakuwa na tabia za kitajiri...kuna ISIS,mzee wa liver, Shimba,Kichwa,Cole na mimi katikati yao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante sana
<br />Aisee mbona ujanishirikisha huyu hapana asije vunja zizi langu bure [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][quote uid=363774 name="ISIS" post=23156402]Karibu kwangu