Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nitairudia mkuu usiwaze ila kuna watu kama wawili hivi wanaitumia
Avatar hii ni legendary hapa JF. Kuachana nayo itakuwia vigumu mkuu. Umegusa maisha ya wengi na ndiyo maana umetafutwa sana hapa. Karibu tena!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimefuta kauli kama nilivyotakiwa kufanya na mh spika. Naomba kutoa hojaHebu ngoja niwaulize kwanza
Et ho chi minh,msela KK na mzee wa tukuyu et nyie ni team carb?
Mkerewe wa mtaa wa mshihiri na kitumbini jijini DARWewe andaetini lakini ni mkerewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahaHahahaha