Afya ipo. Na mimi nipo. Naona leo mambo yote Kijichi Beach. Safi sana kamanda !!!
Asante mkuu. U mkarimu sana. Umealika wanalikes karibu wote. Ngoja nimtafute Jakitoo tupange...SHIMBA WA BUYENZE, ukiwa sambamba na wife wako Jakitoo, mnaalikwa kwenye tafrija ya chakula cha usiku hapa kwetu Kijichi ufukoni mwa bahari ya Hindi, karibu kabisa na ufukwe maarufu wa motope (kijichi beachi matope)
Sent using Jamii Forums mobile app
Uje mkuuAfya ipo. Na mimi nipo. Naona leo mambo yote Kijichi Beach. Safi sana kamanda !!!