Amin, nawe pia mchina wetuUzi huu,
Uzi huu,
Uzi huu,
Uzi huu,
Ingawa huwezi shonea nguo lakini ni ngumu kutoingia walau kila nafasi ipatikanapo.
Watu wana upendo mkuu,
Ni familia moja yenye maelewano makubwa.
Huu uzi uzidi kuimarika siku hadi siku.
Jioni na Eid mubarak njema nakutakieni.
Sent using Jamii Forums mobile app
17Kumi na saba
9Tisa
Lewa tu
Mbona bado sana
Haambiliki, hashauriki. Jamaa ni tatizo kwakweliAkija hapa anaweka post ile ile hata mara mia halafu huyoo anasepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mahakama ya kilele in Kenya SwahiliMahakama ya Juu.. Ina Nguvu Sana Nchini Kenya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa kaingia Bar;
Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,
Jamaa: Muhudumu nipe supu na kila mtu humu ndani mpe supu maana ninapokunywa supu kila mtu lazima anywe supu. Watu wakapewa supu tena safari hii wakapiga makofi.
Jamaa: Muhudumu nipe bili, na kila mtu humu ndani mpe bili maana wakati nalipa bili yangu kila mtu lazima alipe yake. Zogo lilianzia hapo…….
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Safi sana mkuu. Tumekuwa kama ndugu. Tusameheane, tutaniane na kuzidisha upendo !!!