Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati odinga anatangaza kupinga matokeo kelele zilikua nyingi sana kumkejeli na kumcheka,hao hao waliopiga hizo kelele Leo tena wamepiga kelele za kumsifu

Kama huamini just keep quite wanaoamini wafanyaje[emoji41]
Maoni tu
Tofautisha, kuna wapenzi wa Odinga na mashabiki haki za kidemokrasia, wengine tunataka itifaki ya demokrasia izingatiwe na kuheshimiwa. Kitendo cha Odinga kutulia na kutuliza wafuasi wake ni kitendo cha heshima kwa ustawi wa demokrasi. Akafuata matakwa ya kikatiba. walienda mahakamani, mahakama imewasikiliza, imewapa haki yao. TUMEFURAHISHWA na hilo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…