Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Simulizi inaendelea...Hapo mwanzo ndugu hawkujua chanzo cha vifo mfululizo vya ghfla vilivyotekea kwenye jamii yao, lakini baada ya malumbano mzee manyoya akaamua kujilipua kuwa yeye ndiye chanzo cha vifo hivyo. aliwaonya kuwa amefanya hivyo kwa kuwa marehemu walikuwa hawampi mavuno waliyopata toka mashamba ya familia waliyokuwa wanalima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] taratibu mkuu,bado unaumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…