Kuna mwanafunzi mwenzio wa udaktari hapa japo siku hizi kapotea kidogo. Naye alikuwa anashusha haya matemilonoloji ya kilatini/kigriki humu. Watu na mitaaluma yenu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zona pellucida
Hahahahaha kasepaOhoooo Tusubiri tumuone mama viv
Ni mtanzania kwani sijaelewa somo mpka sasaNimeziona kwenye group letu la Whatsapp O'level. Ninazo. Sema tu ban itanihusu immediately. Dr. pengine anaweza kuwa na link. Naye alisema ameshaziona !!!
Shemeji Uniq hajambo. Vindama vile vimekua tuje tuvichukue kwa ajili ya mahari au tusubiri kidogo? Msalimie sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mhola sana! Sasa nimerudi rasmi nateseka kwa kuwamiss imebd nirudi tu...
23:0322:13