Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee Dudumizi anasema mamba huyo alitumika kwa malengo maalum. katika kisa kimoja Dudumizi anasema kuwa marehemu Manyoya alimtongoza mke wa mtoto wake wa pili wa kumzaa, mama huyo alikataa katakata huku akijua kuwa mkwewe ni mchawi. .siku tatu baadaye mwanamke huyo akiwa mtoni, alikanatwa na mamba, akaomba msaada kwa mayowe yaliyowavuta wananchi. Lakini mama huyo alikutwa nchi kavu akiwa na mikwaruzo mwilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…