Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
NyamaMtori
Mbege
Kiburu
ndizi choma
mchaga haipiti siku hajapata kimoja wapo,abishe sasa😱
Indeed................................achieving wealth😵
Asante Jakitooo....Nakuona nakuona tuu kuna kawimbo kazuri naenda kukutumia kuleeeeee
Napapenda pia😎😎[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
HahahahaShiiiiiiiiiiindwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
WalahiiIndeed
Wewe tunaenda wote no matter whatNipitie na mimi. Ukishashusha mapera na mijibapa unayompelekea singo faza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] raha ya maisha nafsi iridhie.Acha niendelee kuzeeka ya dunia yanishinde mie...
Watu wengine ni kuwapuuza tuLabda tuufute uzi wake tukaumwagie povu kisha turudi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lazima kucheza ngoma ya Shigongo otherwise unakuwa obsolete....Dah
Limepoteza hadhi kabisa yani
Nipo nafuatilia jiraniHabari toka kwa mashuhuda zinasema kwamba mzee Manyoya alimiliki mamba 3. 1.BAKARI Huyu alikuwa mamba wa vitisho, anakukamata, anakupa vibao, kisha anakutupa nje ya mto. 2.HUSEIN Mamba huyu alikuwa anakamata kisha anaua. lakini anabakisha mwili wa marehemu ili ukazikwe na wana ndugu. 3.HAMZA. Mamba huyu alikuwa na sifa nyingi. kukuvamia hata ukiwa kando ya mto, ikiwa kivuli chako kimegusa maji, anakuua na kukupoteza kabisa. Wenyeji wanasema "watu walioshambuliwa na HAMZA hawakuonekana tena" itaendelea....... Cc numbisa, cc mzee wa liver, cc myoyambendi, cc Cole Wiliam, cc carbamazapine
Mtori
Mbege
Kiburu
ndizi choma
mchaga haipiti siku hajapata kimoja wapo,abishe sasa😱