-Vilevile enzyme ya bromelain husaidia kupunguza ukuaji wa seli za saratani na kuchochea uponaji wa vidonda kwa haraka.
Kwa hayo machache hapo juu unaona ni jinsi
gani matunda yalivyo muhimu kwa kujenga afya zetu na kutumika kama dama kwa miili yetu. Napendekeza upende kula angalau tunda moja kwa siku kwa uboreshaji wa afya yako.