Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mkuu niaje
Siye kazi yetu ni kutizama tuKwa mara ya kwanza; Linah kamweka hadharani mwanawe
Tangu mwimbaji wa kike wa Bongofleva Linah kujifungua mtoto wa kwanza July 25, 2017 kwa mara ya kwanza leo September 3, 2017 amepost kwenye Instagram yake picha ya mtoto huyo ambaye tangu alipozaliwa hakuwahi kufanya hivyo.
Katika picha hiyo Linah ameandika “Hello there so y’all were curious to see my lil Angel ayt??…. Now here we go, meet Tracey Paris my beautiful princess….. @paristraceyparis@kids_cityshopping” – Linah
View attachment 581052
Alileta 30 mchanganyiko na majike halafu 15 zingine akatudhulumu. Sasa kijana wa pwani Moudgulf naye amejitosa anataka eti tukachukue kuku. Jamani si utani huo?Andjul ulipeleka ngapi kama hizi kwa nsamaka
Acha tuSiye kazi yetu ni kutizama tu