Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilishakukataza hawa ng'ombe wenye vichwa vikubwa kama madume ya siafu. Kama uko siriazi toa madume yaliyobakia. Ukitupa matano tu kama hili, basi wale kumi waliobakia tunakusamehe.
 
Nimefanikiwa kuishusha point 8 ya kwangu. Ni vizuri kujiangalia kwa sababu ukianza kula madawa ya presha ndo hivyo tena...Just walking 30 minutes every day hasa asubuhi huku ukiwaza mambo mema kwa mwezi mzima unaishusha naturally points 5 na ushee...
Hongera sana, kula dawa iwe last resort. Me nimekaa kwenye dozi for 6 months nikaamua kufanya alternative tretment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…