mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Robbie fowler
Tony Adams
Wamechoka naoHata mie sijaona kwa sasa labda kidogo kwa kina Vitali na nduguye
Sent using Jamii Forums mobile app
YapKweli kabisa
Halafu wale jamaa wako smart sana mana ni doctors
Haya mkuu. Ndiyo maana sisi Waafrika hatuendelei. Mtu una maarifa lakini hutaki kushea na wengine. Una njia rahisi ya kufundishia calculus mtoto akaelewa kwa dakika tano lakini umekaa nayo tu unaongea kwa mafumbo. Ingekuwa mzungu angekuwa keshaandika kijitabu tayari, akapata vihela vyake na watu wakafaidika. Tuna maarifa mengi tena ya kila aina lakini kila mtu amekakawana nayo anachagua mjukuu mmoja anamrithisha au mambo yakibumburuka ghafla anaondoka na maarifa yake. Sad !!!People use to learn maths in a simple and enjoyable way
Anyway hukuelewa concept yangu awali.
Hizo codes ni kujifurahisha ndo mana nikakwambia hakuna jipya ila kama kuna jipya I can teach a 5 years kid calculus in 5 minutes
17Kumi na Saba
6Sita
Paulo
15Kumi na tano
Carol
Jay okocha
Umefikamchana unakaribia
XVIIKumi na Saba
Poa mzee wa nambaZa asubuhi
XVIISeventeen