Umenikumbusha shimba kuna nyumba waliweka kibao kwenye fence Mbwa mkali sana usisogeee
Jamaa wakaiba hicho kibao
Akabadilisha akaweka Simba mkali sana bado Ngoma ile ile
Akapiga sasa jini mkali sana na hirizi juu akaweka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna aliyesogea tena