[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha hiyo nafasi carba alikuwa anaitaka sana. Hata alishanipa na rushwa ili ashinde usaili.
Nahisi maana boss amefuta tangazo bila utaratibu.Kwa hiyo mama Viv ni Carba?
Ndio huyo huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama ni kweli basi amefeli
Mama viv hayupo humu jamani chonde chonde wenye wake zenu wapendeni wake zenu sana na mdumu katika[emoji173] milele daima.
Mama viv nipo nae bunju[emoji41]
Hahaha kaka dah
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndio huyo huyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuona unavojaribu kubana jicho …
Chagua mmojaRonaldo ni bora kivyake
Messi ni bora kivyake
Kila mtu ameitendea haki talent aliyopewa na muumba wake
Wapi carba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha hiyo nafasi carba alikuwa anaitaka sana. Hata alishanipa na rushwa ili ashinde usaili.
[emoji23] [emoji23]Kwa hiyo mama Viv ni Carba?