Nimemsoma, tatizo kule mkipishana kidogo tu dude linaamshwa na ndio mwanzo wa ban. Missing espy [emoji26] [emoji26] [emoji27]Numbisa nimemuona kule anasikitika babu yake Asprin kapewa ban
Wewe mkuuView attachment 529076
Nani anamjua huyu.[emoji3]
Aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji95] [emoji106]Toa Likes uitikiwe salamu yako.
AhahaMkuu uko bara gani? Kwetu huku kwenye kuisoma namba kesho ni ijumaa
Kimefika USA nini mkuuJamani kiama karibu
Hata mmNaona watu wana like 5, mimi kazi yangu ni kuongeza ya 6 tu.
Mida ya wanga hii wengine ndio tunaamka[emoji42] [emoji42] [emoji42] usiku mwema
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haHakuna mtu mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.
Utasikia,
"HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO.
MA-MDOGO UNAENDA?,
NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH.
Babu njoo ukae!
Baba angu hapo tusogee kidogo,
Shangazi maliza ngazi,
Swaiba geukia mbele,
Kaka hapo shika upande wa pili,
Mdogo wangu mpishe Ma Mkwe akae.
Subiri Shemeji yako apande…
Duh… makonda noma…!!