Acha hizo ipo kawaidaAvatar yako ndio kisa mkuu
Sawa mkuu pamoja sana
tupooWadau
Babe ISISAisee ndiyo maana kwenye miuzi ya kule nilikuwa napata mitusi ya kiume!!!! Hahahaha yamenikomaza na hapa ni mwendo wa likes na UPENDO TU....raha sana
Mkuu ushakutana nazo nn[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]*HAKUNA MESSAGE NGUMU KIPINDI HIKI KUJIBU KAMA "BABY NIKWAMBIE KITU"[emoji23][emoji23][emoji23]*
Nipo kiongozi, majukumu yamezidi kipatoMkuu salama kabisaaa!
Umeadimika boss.
Jibu tu "Hapana sina hela" akinuna shauri yake*HAKUNA MESSAGE NGUMU KIPINDI HIKI KUJIBU KAMA "BABY NIKWAMBIE KITU"[emoji23][emoji23][emoji23]*
Kapi hako?Hako kajamaa hatukataki kukaona humu kanaleta nuksi tu.