Filamu hiyo ilibuniwa mwaka wa 1970 huko Cambodia, na inazungumzia mwanaharakati na mwalimu Loung Ung aliyeepuka chini ya kiongozi wa Pol POT, Khmer Rouge
Katika mahojiano mengine , ripota huyo wa Hollyhood ,mwenye umri wa miaka 42, amesema ''amehitajika nyumbani,'' na ningerudi kazini nitakapo hisi kufanya kazi '' Nitakapo hisi ni wakati mwafaka''
Nyota huyo amesema ataigiza kwanza , kwa sababu hakuwa na filamu ya kuelekeza aipendayo kama '' filamu yake ya hivi karibuni.