Kwani mama viv ndio nani?carba ulikua sahihi kabisa
sasa anasema haya yote wakati mama viv yupo
Hahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mwalimu mkuu
Aaaaa jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Uongo wako, huo undugu umeanza lini?
hahahahahahaKwani mama viv ndio nani?
Hahahaha akuu mie nimeshikilia namba moja yangu huku wala sina preshaKama vipi mchukue tu awe wa pili[emoji23][emoji23][emoji23]apunguze hizi kelele humu
Siachwi mama,yaan hapa ndik keshafika.Utaachwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Akhaaa mie niko na wanguUmesema mara hizooo2 yaani hizi[emoji111] sijui unaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km ulivyoridhika ww kwa andjul?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pambana tu hata akiwa mchepuko ataridhika lol
Yupi?bob auAkhaaa mie niko na wangu
Mie mwenyewe sitaki kuwa mke wa pilihahahahaha
imani hairuhusu😉😉
Hebu kwenda zako hukoYaani kukaa miaka yote hiyo hujui ndugu wa mumeo?[emoji47][emoji47]
[emoji23][emoji23][emoji23]hebu niache saahii mimi nilaleHahahaha akuu mie nimeshikilia namba moja yangu huku wala sina presha
Strawberry[emoji39][emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unapenda ya ladha gani?
Wee baba hujipendi eti?hahahaha
itabidi awe mchepuko tu
eti nsamaka unakubali kua mchepuko wangu??