Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahah eeeh km mm navyokupenda ww.
Hii tabia ya mabinti wa Kisukuma kupapatikia wanaume wa Kipare imeanza lini? Baby S na mumewe angalau bado wanasoma, sasa na wewe tena? Au unataka tu kumkomoa Carba?

Mimi napinga kabisa wazo hili la Wapare. Ni wabahili mno na hatutapata ng'ombe wo wote wa maana. Sana sana tung'ombe tuwili tukondefu basi. Afadhali hata muende kwa kijana wa pwani Moudgulf alituahidi kuku hata mia tukitaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…