Nakimbilia barabarani kuja kukupokeaHahahaha mbona nduki sasa
Kiu hukata ukizama humu.Huu uzi sasa sifa maana unatambaa hatari, watu mna kiu ya LIKES!
Huwezi kunichapa nikakubali aisee.....leo ni kuchapana tuuHakuna neno kichaa wa like nipo mstari wa mbele hapo kukuchapa like
Kweli, aiseeh watu kwenye huu uzi si wachoyo!Kwa nini ukose like.
Hazina maumivu hizi. [emoji2] [emoji2]Stick za like tu
wajipange upyaMods wanahah....Wameitisha kikao cha dharura kuudhibiti huu uzi..
Intelijensia yetu imetutonya....hakika mipango ya shetani imeshaahindwa
Hahahaha trueNever argue with an idiot, because if someone else is listening, they may not be able to tell the difference
Mbn kila mtu likes zimeishia tani tu...?Angalia ktk archive yako ya likes! Kapu litakuwa saturated!
Like machine tunatia like tu hapaHii thread imevunja rekodi ya speed, duuu
HahahahaMods wanahah....Wameitisha kikao cha dharura kuudhibiti huu uzi..
Intelijensia yetu imetutonya....hakika mipango ya shetani imeshaahindwa
ucjal chukua [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Mimi bado...
Usiwaze like hadi pomoniHaya na mimi nipe