ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Kwa kweli"Like ulaikiwe"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli"Like ulaikiwe"
UmeonaeeKweli, aiseeh watu kwenye huu uzi si wachoyo!
Hahhahahha ha haaHaya rudisha fazila Bablae...
Mods inanibidi wanipige ban la kuto likehamna namna we like tu twende
nilisema jamaa aliyeanzisha uzi huu ni profesaJamii Forums kuna watu wabunifu sana iseeh [emoji1] [emoji23]
Watu wanavipaji saname nishasema jamaa huu uzi kauanzishia chooni
Nimeona miuzija ya rakims huku...Subiri uone....
Mimi nikiangalia likes za leo ni zaidi ya 150!Mbn kila mtu likes zimeishia tani tu...?
Tutawanyoa kipara kwa kisu...Hivi MODS wakiufuta huu uzi na like zinasepa.
Magu labda awe kodi ya kulike hapo atanikamaChezea like za bure, magu akiingia huku walahi hatubaki salama!!
Tanzania Air___eQatar airline
Ndo nashuka nayo
Hawataweza hii kitu imepitishwa na acaciaMods inanibidi wanipige ban la kuto like
Fun ni way unavyo likeDah this is fun......
HahahahaLeo mpaka asubuh mwendo wa like tu
Habari nilizopenyezewa ni kuwa Makapuku wamepenyeza mshiko kwa mods ili huu uzi ufungwe...Makapuku forum wajipange
Yaah..nimeonwa!!Umeonaee
Hapo hata upost empty like lazima kichwa kichafu apite