Ha wa yuuMc......wa Bob
Hebu fafanua hapo[emoji41]
Kwani nawe mdau[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Asavali....
[emoji23][emoji23][emoji23]uje tu nakusubiriUmenianze eeeh?
Subiri jioni nikitoka kazini, utajuta leo.
Me mzima sana baada ya kukuonaWazawa wa kupenda LIKES kama mimi wazima.
CANTSTOPWONSTOP
TumesikiaWizara ya Afya imesema yeyote anayeuza dawa za asili zisizosajiliwa zikiwemo za kuongeza nguvu za kiume atachukuliwa hatua za kisheria.[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Kweli bila wewe sina ishu.Me mzima sana baada ya kukuona
Salama lov sijui za kwakoKweli bila wewe sina ishu.
My love habari ya mchana
CANTSTOPWONSTOP
Hiyo nayo tumesikia[HASHTAG]#DewjiBlogNews[/HASHTAG]: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Zimbabwe, Rita Makarau amesema wamejipanga kuhakikisha kilichotokea katika uchaguzi wa Kenya hakitokei katika Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo utakaofanyika mwakani.