Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Paul Ince

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mchina unajua historia yake
Wacha nikupe kidogo
Baba yake alikataa mimba yake
Shangazi zake wakishikiriana na Wifi yao yaani mama yake Ince wakalea mimba kwa shida na dhiki all on all jamaa akakua na kipaji cha mpira hatari
Baba anakuja hoo Mimi ndio baba yako weeeeeee
Madada zake na mama yake walimfurusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…