Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kujaliwa gani huko sasa hapo? [emoji3]
Kama katibu wa chama ninakuwinda ujiunge nasi. As far as I know shida yako inatatuliwa na viambishi awali tu. Hupendi mami-sambwanda lakini tumi-sambwanda huna shida nato . Tuje tuongee na nitacheki na mwenyekiti ila mimi nadhani unakwolifai kabisa kuwa full memba wa hiki chama chetu pendwa (CHAWAMITA= Chama cha Wapenda Misambwanda Tanzania)
 
Ndo alichokifanya baba yake diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…