NANASI+EPO+TIKITI MAJI
Juisi ya mchangayiko wa nanasi, epo na tikitimaji huondoa mlundikano wa chumvi mwilini, husafisha kibofu cha mkojo pamoja na figo. Hii ina maana kwamba juisii hii ni kinga tosha dhidi ya magonjwa ya kibofu cha mkojo na figo.
KAROTI+EPO+PEASI+EMBE
Juisi ya mchangayiko wa karoti, epo, peasi na embe hushusha joto la mwili, huondoa sumu mwilini, hushusha shinikizo la damu na hupambana na matatizo ya kupumua.
Tajiri ni yupi? Ni lazima uwe na vitu gani ndo uwe tajiri hasa katika jamii yetu ya Kitanzania? Wapi ni matajiri hapa Tanzania? Mtu anayeishi Mbagala anaweza kuwa tajiri? Na mtu wa Masaki je? Anaweza kuwa masikini?[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
PAPAI+NANASI+MAZIWA
Mchanganyiko wa papai, nanasi na maziwa, ambao una kiwango kikubwa cha vitamin C, E na Chuma (Iron), huboresha rangi ya ngozi na kuifanya iwe nyororo na husaidia mmeng’enyo wa chakula tumboni (metabolism).
KAROTI+EPO+PEASI+EMBE
Juisi ya mchangayiko wa karoti, epo, peasi na embe hushusha joto la mwili, huondoa sumu mwilini, hushusha shinikizo la damu na hupambana na matatizo ya kupumua.
NDIZI+NANASI+MAZIWA
Nao mchangayiko wa ndizi, nanasi na maziwa una vitamin nyingi na virutubisho vingi na huondoa tatizo la ukosefu wa choo.
Pole sana my dearestSina mood nzuri Leo tukutane baadaye
Naomba upitie hivyo vitabu kwanza then uje tudiscuss bro.Tajiri ni yupi? Ni lazima uwe na vitu gani ndo uwe tajiri hasa katika jamii yetu ya Kitanzania? Wapi ni matajiri hapa Tanzania? Mtu anayeishi Mbagala anaweza kuwa tajiri? Na mtu wa Masaki je? Anaweza kuwa masikini?
Tatizo lipo hapo [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hahahaha