Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Arsenal walianza ligi kwa ushindi wa 4-3 nyumbani dhidi ya Leicester, kabla ya kushindwa 1-0 Stoke na 4-0 Liverpool, kichapo ambacho kilimuuma sana Wenger.
Mechi yao ijayo itakuwa Jumamosi nyumbani dhidi ya Bournemouth saa kumi na moja jioni saa za Afrika Mashariki (15:00 BST).
 
Kipindi cha kuhama wachezaji majira ya joto kilianza tarehe 1 Julai na kilifikia kikomo saa moja usiku wa kuamkia leo.
Wachezaji ambao hawana mikataba watakuwa na fursa ya kujiunga na klabu nyingine hata baada ya soko kufungwa.
Hapa chini tuna orodha ya wachezaji waliohama katika mwezi wa Agosti, ikiwa ni pamoja na waliothibitishwa kuhama siku ya mwisho.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…