Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipindi cha kuhama wachezaji majira ya joto kilianza tarehe 1 Julai na kilifikia kikomo saa moja usiku wa kuamkia leo.
Wachezaji ambao hawana mikataba watakuwa na fursa ya kujiunga na klabu nyingine hata baada ya soko kufungwa.
Hapa chini tuna orodha ya wachezaji waliohama katika mwezi wa Agosti, ikiwa ni pamoja na waliothibitishwa kuhama siku ya mwisho.
 
1 Septemba
Ligi ya Premia
04:00 - Mamadou Sakho [Liverpool - Crystal Palace] £26m
03:30 - Danny Drinkwater [Leicester - Chelsea] £35m
01:25 - Wilfried Bony [Man City - Swansea] Haijafichuliwa (inakadiriwa kuwa £12m)
01:18 - Davide Zappacosta [Torino - Chelsea] Haijafichuliwa
01:15 - Fernando Llorente [Swansea - Tottenham] Haijafichuliwa (inakadiriwa kuwa £15m)
 
00:56 - Tim Krul [Newcastle - Brighton] Mkopo
00:45 - Aleksandar Dragovic [Bayer Leverkusen - Leicester] Mkopo
Ligi za Soka za England na Wales (Championship, League One na League Two)
02:20 - Dave Tarpey [Maidenhead - Barnet] Haijafichuliwa
02:10 - Liam Walsh [Everton - Birmingham] Mkopo
01:58 - Keshi Anderson [Crystal Palace - Swindon] Mkopo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…