Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
UwiiiWatu wengine yaani roho mbaya tu. Kulikuwa na ulazima wa kuzikanyaga hizi sambusa wakati akijua kabisa kuwa binadamu wenzake wanakwenda kuzitumia?
Kazi kweli kweli
Magnificent
Nayaweza yote[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
Lipicha lipi likubwa limekutisha? Unakuwa kama andaeitini bwana. Huku kwema tunasubiria hii hurricane ipite...Kwema naona unatupia mipicha mikubwa. Hope fine pande hizo
CantstopwontStop