Unakazana kutongoza kumbe ni dume flani hivi!Yeah! Kuna wanawake wachache sana hapa JF. Ni shida kubwa !!!
Nenda salama popote huko unakoenda. Mungu Akutangulie ndugu...
CHAWAMITA hapa hatuhusiki [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mzee Rutta, kwema? Umeamkaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri Andjul aje. Leo utahama mji. Kwema lakini malkia wetu?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]weeeewe Mtanzania weka mfano ulimwenguni...
amani upendo na ujamaaa wetu..
uzidi kudumu milele..
Mbegu hizi Mwalimu alijitahidi sana kuzipanda katika mioyo ya Watanzania.kila mtu anastahili heshima na kuthaminiwa
Kipwani pwani pilau hili laliwaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Walifinyanga na mikono au wahitaji kijiko? Funguka [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Yeah. Na hela unaombwa unatuma. Ukiomba picha unapewa za mtandaoni. Unafunguka weee kumbe mtu anakusanifu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakazana kutongoza kumbe ni dume flani hivi!
Hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe upo SIMBA YENYE MANYOYA[emoji123] [emoji123]Subiri Andjul aje. Leo utahama mji. Kwema lakini malkia wetu?